Alhamisi mwanamziki Justin Bieber alifanya tamasha la bure huko centrel park kwa ajili ya kipindi kiitwacho the Today Show, hakuna mtu alieona mabadiliko hadi pale Justin alipo toa kofia yake na watu kuona kama ame badilisha rangi ya nywele zake. “nadhani maisha yana kupeleka sehemu usizo zijua wala kudhani kama utafika,na nadhani mimi ni kijana mdogo ninae jaribu kujua kama mtu mwingine yoyote” alisema Justin.

2f6b42b0-57d4-11e5-bcfd-4fc2271e4a79_Justin-Biebs-Hair

Lakini si yeye peke yake kuna watu maarufu wengi ambao wamefanya hivyo.

9e1142c0-dde8-11e4-b537-9d62943f030a_Amber-Rose-Hair
b1fcaa70-ce7c-11e4-bb54-f11f8a97aba3_kim-kardashian
7767cf30-0468-11e5-9b35-09bd70ebc766_Jennifer-Lopez-Haircut
a29f7c60-5176-11e5-89b7-5329f64cdbdd_Kylie-Jenner-Hair
unnamed

Comments

comments