Linapo kuja swala la mavazi wenzetu hawachukulii kwenye special occasion tu, wao kwao hata wakienda sokoni wanajaribu kujiweka vizuri, super model Bella Hadidi amekuwa spotted akiwa katika mizunguko yake in orange sexy scarlet jumpsuit na we are loving it.

Bella amevaa jumpsuit hii huku akiwa ame debut, new hair do bob style 

akiwa ame accessorize mtoko wake na miwani na small handbag nyeupe aliyo match na viatu vyake 

We love love this look “in a little bad day brighten your day with colorful outfit” 

Bella Hadid In Sexy Scarlet Jumpsuit

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com