Beyonce ni moja kati ya watu maarufu ambao huwa hawatabikili, she always go extra miles linapo kuja swala la red carpet. She almost alwaye gets the memo huwa anavaa accordingly na event na ana hakikisha ku-make a statement kupitia mavazi yake, Juzi kulikua na event ya mama yake Beyonce iitwayo Wearable Art Gala, event hii imekuwa founded na Tina Knowles na mume wake Richard Lawson so Beyonce na familia yake ilikuepo kuwa support.

Kama ambavyo tumesema Beyonce don’t play aliattend event hii in gold gown ambayo ilikuwa very artistic as the name of event

Gauni limebuniwa na in custom fashion house kutoka India iitwayo  Falguni Shane Peacock,  well huyu mbunifu he deserve an award cause this is art & this is what a queen to wear.

Beyonce alimatch na mwanae Blue Ivy in gold number

we love the dress & the art on it.

Beyonce Channeling Nubian Warrior Queen “Amanishakheto” At Wearable Art Gala

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com