Kuna rangi ukizifikiria kuzivaa pamoja unaona haziendani kabisa kama red and purple, brown and maroon na nyingine nyingi kwetu hatukuwahi kufikiri kama rangi ya purple na green inaweza kuvutia until Beyonce alivyo vaa na kutu-prove wrong, Katika  TIDAL’s annual benefit concert huko New York Beyonce ameonekana kuvalia hii gauni ya kijani kutoka kwa Walter Collection ,

Ame accessorize gauni lake hilo na purple shawl, big hearings kutoka kwa lorraine schwartz na pumps

mkononi amebeba Alexander Wangny Clutch ambayo ni limited edition

Closer look for make up.

 

Beyslay