Beyonce is one hell of a woman, tunadhani hii ndio sababu ya yeye kupendwa na watu wengi. Yu mjamzito lakini she gave one hell of a performance at the Grammy’s na pia ame slay as usual.

  1. outfit yake aliyo chukulia tuzo ilikuwa red sequin dress iliyo mkaa vizuri na kuonyesha ujauzito wake, the neck piece is WOW

halafu akaja ku perform ukiingalia hii outfit kitu kimoja tu ni kitambaa, ni huo mkia huko nyuma vingine vyote ni accessories, hii alichia kabisa tumbo nje

she perfomed again na hii dramatic gold dress which is our favorite, we love every thing on this outfit even the small little details

Comments

comments