Brooklyn ni mtoto wa David Beckham na Victoria Beckham mwenye umri wa miaka 16.  Kijana huyu ambaye atashirikiana na binamu yake Liberty kuuza duka  la antie yake Louise Flood (nee  Adams) ambaye ni mdogo wake Victoria Bekham. Louise amefungua Boutique hilo weekend iliyopita baada ya kuachana na biashara hiyo kwa muda mrefu. kwa Mujibu wa jarida la The Sun Louise ameamua kuuza nguo, mabag pamoja na vitu. Katika duka hilo limepewa jina la Hidden Closet.

Hidden closetHidden Closet imeshaanza kufanya kazi na Louise alitweet kuonyesha hisia zake.

tweet