Nike na Chanel wameamua kutuletea not your ordinary products za kubeba mapochi, trend kubwa kwa sasa katika ulimwengu wa bidhaa za mikoba ni fanny packs na min handbags, well japo trend hizi ni kubwa lakini kuna wale ambao hatusumbuki nazo na ni kutokana na kuto kupenda kubeba pochi au kuona hata hizo ambazo wengine wanaziona ndogo kwetu zikawa kubwa,

Basi kwa kuliona hili Chanel wameleta Ankle purse’s wakati nike wao wameleta  fanny pack slides, crazy right?

Nike wao wanauza hizi slides Fanny Packs kwa $50 sawa na tzs 113,702.50/- unaweza kuweka funguo, pesa na vitu vingine vidogo vidogo kama lipstcik, wanja nakadhalika, hizi slides ni kwa ajili ya beach mostly lakini kwa kawaida yetu wa Africa tunaweza kuzivaa hata sokoni kama ambavyo tulizivaa Fenty X Puma Fur Slides.

Channel wao wanauza hizi ankle purses zao kwa $ 450  sawa na pesa yetu shilingi 1,023,345.00/- hizi zenyewe unaweza kuzivaa na heels, sandals, kicks na chochote kwa sababu zinavalika na kuvulika mguuni, nazenyewe unaweza kuweka vitu vidogo vidogo.

well tuambie kati ya invention hizi mbili wewe ipi unahisi unaweza kujaribu?

unaweza kuingia hapa kununua chanel purse

na hapa nike fanny packs 

Chanel Na Nike Wanakuletea Pochi Hizi Za Kuvaa Mguuni

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com