Ikiwa kesho ndio ule usiku unao subiriwa na wengi hasa wapenda mitindo, tumeona si mbaya kama tukitoa mawazo ya nini uvae au uige ukiwa katika Fashion Nite Tz.

Tamasha lenyewe linahusu Mitindo kwaio inabidi uwe kimitindo zaidi ili kuendana na maudhui pia lina fanyika usiku inabidi ujue uvae nini kinacho faa katika tamasha hili na hizi ni baadhi tu unazo weza kuiga kuvaa

1 2 3 4 6 7 8 9 10

Comments

comments