Well jumapili ni siku ya kwenda Kumuabudu M/Mungu kwa wenzetu wa kristo na pia jumapili ni siku ya mapumziko watu huenda sehemu mbali mbali kupumzika na ku-have fun, huwa ni shida kutoka kanisani kurudi nyumbani kubadilisha mavazi kisha kwenda kwenye mikutano yako mbali mbali kama ni movies, parties, birthday etc lakini leo tumekuletea outfits ambazo unaweza kuvaa na ukatoka kanisani na kwenda popote ambapo umealikwa.

Layered ruffle skirt are so in, almost kila fashionista ame zi rock, unaweza kuvaa ya rangi uipendayo na top ukamalizia na heels na pochi. Ukitoka unaweza ku switch heels na kicks au flat sandals kufanya outfit yako iwe more casual for weekends.

A high waist trouser & top, hii nayo una weza ku switch ukavaa sneakers to make it stylish yet casual for friends gathering ondoa na chain.

Colorful dress and matching shoes

Outfit gani ime ku inspire week hii? tuambie kupitia account zetu katika mitandao ya kijamii

Comments

comments