Sote tunajua weekend ni siku za mapumziko na wengi huwa tunatumia kupumzika na familia zetu, well weekend hii tumeona hizi couple tatu ambazo zimetupa couple style goals lilipokuja katika swala la mitindo na style.

The power couple, “The Carters” walihudhuria premiere ya movie ya Lion King ambapo Beyonce ni moja ya cast katika movie hio, Beyonce amevaa hii custom gold pleated gown with thigh high slit Kutoka Kwa ┬ámbunifu Cong Tri, alimalizia muonekano wake na a beautiful clutch, jewelries na gold strap sandals.

Wakati Le Hubby, Jay Z yeye alikuwa in black & white tuxedo,we love the outfit but the hair mmh.

Katika hio hio premiere ya Lion King we had yet another powerful couple ambao ni Prince Harry na mkewe Meghan Markle, Meghan yeye alivaa black cocktail dress yenye delicate mesh overlay for maximum effect, kutoka kwa mbunifu  Jason Wu . Meghan is knowing for her simplicity, as usual she had a no makeup, makeup look amebana nywele zake vyema huku akimalizia muonekano wake na clutch na black shoes. Wakati mumewe nae akiwa in black & white tux.

We had our own couple moment kwa Tanzania, ambapo tulimuona mwanamuziki Juma Jux akiwa na mpenzi wake kwa sasa looking sensational in their outfit.