Modupe-Oreoluwa Oyeyemi Ola, au anajulikana kama Mo’Cheddah kwa jina lake la kisanii, Ni Rapper wa kike kutoka Nigeria ambae leo tuna crush na styles zake. Mo’cheddah yupo tofauti na rapper wengine wa kike kutoka Africa linapo kuja swala la styles za mavazi ikiwa wengi huwa wana jiweka kiume na kujivalisha mavazi yasiyo eleweka  yeye yupo tofauti kabisa She slays her entire life labda kwa sababu she is also a fashion blogger but can our Tanzania’n female rappers take notes?

She is so chic

White attire

Slaying & she knows it.

Kitenge head wrap

casual chic

well unaweza kuwa rapper na bado ukapendeza

Comments

comments