Macrida Joseph ni mwanamitindo ambae ana chipukia kwa kasi kutoka Tanzania, ukiachana na maisha yake katika mitindo kitu ambacho tume jifunza kutoka kwa macrida ni mapenzi yake kwa viatu. Macrida ana mapenzi ya viatu vya aina vyote high heels, sandlas, raba na boots na vyote ni vizuri, vichache kati ya vingi tulivyo vipenda kutoka katika kabati la viatu vya Macrida

macrida5

macrida4

 

macrida

macrida6
macrida7