Mwanamuziki Diamond Platnumz amefanya interview na Gazeti la Gq Magazine South Africa, humu ameongelea mambo mengi lakini kubwa zaidi ni safari yake kimuziki na deal alilolipata na kampuni ya kinywaji cha balaire.

Well katika moja ya maswali ambayo aliulizwa ni nini siri yake katika style za mavazi? Jibu lake lilikuwa kwamba inategemea na vibe na mood aliyokuwa nayo siku hio na huwa anatumia vibe hio kujua avae nini.

 

Not bad but boo boo needs a stylist maana ukitegemea mood zako kuna siku unakuwa na mood nzuri siku nyingine mbaya ukiwa na stylist we won’t know which mood your in. Lakini pia alisema kwamba ame co design hii jacket mnaiona amevaa kwenye cocktail video yake na Balaire na kwamba kuna nafasi ya fans zake kushinda jacket hili week hii so get ready.

Kusoma zaidi hii interview ingia hapa GQSouthAfrica

 

Comments

comments