206514163fe498ca65aed3e1a94fe11b86d1ef9d.png.cf

SOMO: Achia kifungo chako cha mwisho cha chini (usikifunge) kwa kupata muonekano wa kawaida, usio tumia nguvu na kuonyesha kiuno chako.

88c880d8a773db8881f3101577611fce51c531ef.png.cf

SOMO: shati la mistari na sneakers za rangi moja ni chaguo bora zaidi kwako kwa ajili ya matembezi ya kawaida.

11b1ab6556e0e68c20f485686a6e81c1529da889.png.cf

SOMO: Nguo eidha za rangi moja au rangi tofauti zilizo tulia zitakupa muonekano wa tofauti na ulio tulia wa kisasa zaidi.

e40b637c2b6b238942390e13c565eed39c3c02a9.png.cf

SOMO: Kuachia kifundo chako cha mguu kionekane ni muhimu hasa pale unapo taka watu waone kiatu chako.

 

 

DONDOO ZA MITINDO KWA WANAUME

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com