Tanzanian Slayer Elizabeth Michael ametupia picha yake mpya akiwa amevalia gauni kutoka kwa mbunifu Elisha Red Label kama mtoko wake akiwa ameenda kufturu kwa rafiki yake

we love the dress, Kimono ni moto na color combination is on point, lakini kidogo hijab ime tuangusha tuna tamani angefunga hii hijab style nyingine kabisa kuifanya dress ionekane vizuri. Lakini je kwako una mpa asilimia ngapi ELiza na hii Iftar outfit yake?

Lakini kama una mtoko wa iftar na hujui uvae nini click hapa kuona Iftar Outfit Ideas

Elizabeth Michael Rocking Elisha Red Label Dress For Iftar Date

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com