Muigizaji Elizabeth Michael amekuwa engaged jana usiku na mpenziwe wa muda Bwana Majizzo, well hongera Eliza keep on slaying on fashion & life.

japo event imeonekana ilikuwa ameshtukizwa lakini baby girl looked good in her yellow column dress with dramatic puff kifuani, amemaliza muonekano wake na remba aina ya gele

 

Kwenye makeup sababu rangi ya na gauni ilikuwa statement akaamuwa kuwa neutral na makeup na accessories zilikuwa simple

Unaweza kuangalia gauni full kwenye hii video hapo chini, again hongera Majizzo na Lulu

 

 

Elizabeth Michael Said Yes In Yellow Column Dress With Dramatic Puff Detail

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com