Tracy Jamilatu Iddrisu ni fashion blogger kutoka Ghana anaefanya vizuri katika ulimwengu wa mitindo, Tracy Jamilatu Iddrisu a.k.a empress_jamila amekuwa akipost picha za yeye akiwa amevalia mavazi ya kitenge ambayo yameshonwa vyema kabisa na yako very stylish tukaona sio mbaya kama tukikuletea na wewe msomaji upate kujiibia mshono

huu ndio tumeupenda zaidi style ya mikono ni very unique

sometimes you just need bright colors

kitenge suit 

lace & kitenge chic!

Empress Jamila Is Giving Us All Shades Of Kitenge Styles

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com