Kwa Wasio Mjua Esma Ni DadaWa Diamond Platnumz… Esma Ni Moja Kati Ya Wasichana Walio Kuwa Na Watoto Na Bado Wana Maintain Miili Yao Vizuri…

Mara Nyingi Esma Amekuwa Akionekana Na Madira Na Magauni lakini katika hii photo shoot yake mpya Esma Ame Badili Style Na We Love It😍

Picha: Esma Akiwa katika blue blouse ambayo ilitrend kipindi cha katikati ame ivalia na dark blue skin jeans na black & White Pumps

WhatsApp Image 2016-10-18 at 15.39.47WhatsApp Image 2016-10-18 at 15.40.53WhatsApp Image 2016-10-18 at 15.42.50

Picha: Off shoulder bado ina trend looks like Esma nae hakutaka kupitwa hapa akiwa amevalia Pink long Sleeves Off Shoulder Blouse.. Skin Jeans na Open heels👍🏾👍🏾👍🏾

WhatsApp Image 2016-10-18 at 15.40.53

Picha: Huu muonekano wa mwisho ni our Favorite… Hizo Cut Off Shoulders ziko So In Kwa Sasa… High Waisted Jeans Na Red Heels Alizo Match Na Lipstick.

WhatsApp Image 2016-10-18 at 15.42.50

 

Tuambie muonekano upi Kanoga zaidi hapo chini au kupitia kurasa zetu za;

Instagram – @afroswagga

Twitter – @afroswaggatz na

Facebook – afroswaggamag

ESMA NEW STYLE IS EVERYTHING

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com