Sonal Maherali ni fashion blogger, youtuber, na fashionista kutoka Kenya, Sonal Maherali ana watoto wanne na anapenda fashion sana, blogger huyu anaweza kufanya chochote na kutoa kiasi chochote kupata akitakacho. her style is anything BUT basic, ana penda luxury things kupitia youtube channel yake Sonal ametupa story ya nini amepitia kuipata hii Hermes Birkin 35 Barenia Handbag.

Kama ni mpenzi wa handbags utajua Hermes ni moja kati ya handbag brands ambazo ni expensive sana, well Sonal aliitaka kama zawadi katika birthday yake na akaipata

Handbag hii ameinunua kwa $16,000/- ambayo sawa na Tsh 36,532,000/- na ipo sold out katika website yao.  unaweza kuangalia kwenye video chini akielezea namna a