Ruffles zime trend sana zikawa common maana kila mtu anazo amezivaa za kila aina lakini inaonekana Fashionista wameamua kuja na aina nyingine ya hizi ruffle, kinacho nekana kukubalika sana sasa hivi na fashionistas ni hii style ya zenye rangi mbili na inavaliwa mkono mmoja ruffle ambazo ni kubwa kiasi

mara ya kwanza tuliomuona nayo @empress_jamila akiwa amevalia kama body suit na skirt

 

Tukaja kumuona nayo pia Fashion blogger LaNatria Renee’ Brackett Ellis au @caribbean_cowgirl na yeye akiwa amevalia kama top juu ikiwa nyeusi na mstari mweupe huku akiwa amevalia ruffle trouser na bamboo bag  ambayo imetrend sana mwaka huu

na mwisho tukakutana na fashionista mwingine ambae yeye aivaa kama gauni ame accessorize na belt, bangle, hereni na mkufu akimalizia na kofia kubwa pamoja na pumps nyeusi

afroswagga tume approve hii ruffle top je wewe umeionaje? kusoma style nyingine ingia hapa  na hapa 

Fashionista Choice: Two Colored Magnificent Ruffle Top

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com