Well let’s say Lavidoz anakuwa shoe goals to us, week iliyopita tuliona jinsi alivyo style her Christian Louboutin White Pumps zenye thamani ya Shilingi 1,650,390/- za ki-Tanzania,

Week hii tumemuona Lavidoz akiwa amevaa hizi sneakers  kutoka katika brand ya MCM tukaona sio mbaya tukijua ametumia shilingi ngapi kununua hivi viatu

Viatu vinauzwa $340 sawa na shilingi 774,520/- za Ki-Tanzania hivi viatu ni collaboration kati ya kampuni ya Puma na Mcm (Puma x MCM Suede Classic Sneakers)

Yeye alivi -style na bag pack kutoka katika kampuni hio hio ya MCM yenye thamani ya $ 720 sawa na pesa za kwetu shilingi 1,640,340/-

 

akiwa amevalia viatu hivyo na bag pack hio na shirt dress nyeupe alimalizia na accessories ndogo ndogo kama sun glasses, na bracelets well lets say the outfit is simple but the budget is not to messy with

Kama ungependa kununua bidhaa hizi ingia hapa us.mcmworldwide.com/

Fashionista Lavidoz Ametumia Sh 774,520 Kununua Hivi Viatu Vya MCM

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com