Kuwa mbunifu ni pamoja na kuleta kitu cha tofauti au kipya katika ubunifu wake. Elfrida Emmanuel au Fifi Sugar Design ni moja kati ya wabunifu ambao wanabuni mavazi ya kawaida lakini mostly Fifi anabuni mavazi ya harusi hasa kwa upande wa wanawake, na hii iwe bridal dress, wedding guest, kitchen part, bride maids dress au send off dresses you name it.

Kwa sasa hivi Fifi amekuja na hii style ya kipekee kabisa ya Bridal Tail Style ambayo sisi tumeipenda,

hii tail si kama zile ambazo tumezizoea ambazo zinaunganishwa moja kwa moja na kitambaa cha gauni, Fifi yeye amebuni hii ambayo inakuwa na rangi sawa na gauni lakini sio kitambaa kilekile cha gauni.

anachukua rangi moja ya kitambaa cha gauni ambayo anaifanya kuwa ndio rangi ya tail pia. kama hii ambayo alichukua purple

Na hii ambayo ilikuwa ya pink.

Well tumependa kuona kitu cha tofauti hasa katika upande wa ubunifu wa nguo za harusi maana wengi huwa wanaigiana hakuna kipya.

 

Fifi Sugar Design Amekuja Na Hii Signature Bridal Tail Style

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com