Tuesday nyingine tena ambayo tunakuletea habari za viatu tulivyo vi-spot watu maarufu wakiwa wamevivaa, Wiki hili tunae mwanadada Flaviana Matata ambae yeye ni mwanamitindo wa kimataifa alietoka hapa Tanzania.

Tumem-spot Flaviana akiwa amevaa hivi viatu vya Gucci ambavyo vina thamani ya $ 1,150/- sawa na  2,615,790/- za ki-Tanzania

Hizi Mid Heels ni moja ya latest designs kutoka kwa Gucci, fashion bloggers mbalimbali wamezivaa na wengi wakizisifia kwamba zipo comfortable, well kama hujajua grand ma shoes are making a comeback na ni nzuri kwa sisi ambao hatuwezi kutembelea heels.

Sifa zake au kilicho ongezewa ni kwamba viatu hivi ni vya leather, vina pearls katika kisigino na double G buckle kwa mbele.

Flaviana yeye alistyle hizi loafers zake na double denim outfit ambapo alivaa a denim jacket na denim suruali ndani ya jacket alivaa t-shirt nyeupe akamalizia muonekano wake na sun glasses, alikuwa safarini so tunaweza kusema hii ilikuwa traveling style yake.

Well tuambie je wewe umevipenda hivi viatu au vikupitie kushoto? una weza kuvishop hapa gucci.com

 

Flaviana Matata Rocking Gucci Mid Heel Loafer Zenye Thamani Ya 2,615,790/-

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com