Nadira Quddus nim fashion blogger, Vlogger na pia ni mbunifu, Nadira amekuwa Hijabista wetu tume penda anavyos style her muslim wear very modernly bila kuvuka mipaka ya ki Islam,

Una weza kuangalia zaidi katika blog yake, bonyeza hapa

Unaweza ku mfollow instagram link hii hapa

Her color combination is A1

Na makeup yake is always on point

unaweza kutufollow

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz