Muigizaji Gabrielle Union took Instagram to shock baada ya ku post gauni lake ili ambalo lina rangi mbili na upande mmoja na mwingine ni bikini (at least that’s is what we think), gauni hilo lime buniwa na Jean-Paul Gaultier

Gauni hili upande wa gauni ni mweusi na upande wa bikini ni bluu, what shocking ni kwamba ndilo alilo lichagua kuvaa katika vanity fair party (oscar after party) it is kind confusing ila amependeza,

tuambie Je umependa huu muonekano?

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz