Ni msimu wa mahafali wanafunzi mbalimbali wamemaliza masomo yao na sasa ni muda wa kuagana na kuanza safari mpya ya huko waendako, tulipata request katika social media zetu wengi wakiomba kupewa muongozo nini wavae katika graduation unaweza kusoma hapo chini.

Lakini pia kuhusu maswala ya makeup unaweza kusoma hapa 10 Tips For Graduation Makeup

Lakini hii request ya watu kuuliza wavae nini kwenye graduation endapo ni wajawazito imekuwa kubwa sana na tumeona tuwawekee hapa mavazi gani unaweza kuvaa kama una mahafali na ni mjamzito

Comments

comments