Rapper Gucci Mane ameoa jana, amemuoa Keyshia Ka’oir ambae ni model, stylist na entrepreneur harusi yao ime cost kama $1.7 Million  kama 3,740,000,000 Tzs well wenzetu wakifanya kitu huwa wanafanya to the maximum hawajaribu.

Keyshia Ka’oir amevaa gauni kutoka kwa Charbel Zoe Couture mwenyewe Keyshia alisema its gonna be night of diamonds and well the dress, bouquet and the head piece is shinning bright like a diamond which it is.

 

Ni all white theme wedding watu wpte walivaa white including the groom ambae ni Gucci Mane, amevaa white suit na bow tie na shoes za diamond

Wageni waalikwa waliokuwepo ni pamoja na Monica Brown

Big Sean and Jhene Aiko

Karrueche Tran 

Watoto wa P.Diddy 

na wengine wengi wengi, when you talk about wedding goals

Gucci Mane And Keyshia Ka’oir $1.7 Million Worth Wedding

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com