Ukiwa una muongelea Hamisa katika mitindo you talk about her with respect, Hamisa akiamua kuvaa basi hakosei na leo ana Nigerian look kutoka kwa Fifi Sugar Design  tume penda the whole outfit,

14533561_1248131895265591_5708302065151770624_n

na mnajua Hamisa don’t play when it comes to camera & poses, ila Hamisa ni body goals 15306551_706223922867241_1579337209352290304_n

muonekano wa gauni kwa nyuma, gere, accessories, make up on point.

15101611_1847431875501092_8636338312019181568_n

Comments

comments