Gazeti jipya liitwalo Hannan lime anzishwa hivi karibuni ili kuongelea maswala yanayo husiana na mwanamke mweusi, katika hili gazeti kuna mitindo,urembo,maisha, na hata mapambo ya nyumbani.
mhariri wa gazeti hilo Qimmah Saafir,amesema “The goal of Hannah isn’t to try to speak for all black women. The goal of Hannah is to continue to work with others to usher in a plethora of voices that do. Voices that actually belong to us.”
Comments
Related posts
HOT TOPICS
Martin Kadinda Debuted She Gentle Collection At Swahili Fashion Week: Mbunifu Martin… https://t.co/BBAefWm0Al
FollowNjia Za Kujali Handbag Yako Idumu Muda Mrefu: Kama ambavyo unaweka cover na protector… https://t.co/rYXOb7PBbX
Follow#SwahiliFashionWeek2019 Lundi and Sons Collection #SwahiliFashionWeek2019 https://t.co/1sgnuYbDen
Follow
FOLLOW US!