Ni New York Fashion Week Yow! na kila mtu aliyepo New York ana jaribu kuwa stylish katika kipindi hiki, moja kati ya wanamitindo ambao Tanzania tunajivunia Millen/Happiness Magese yupo huko na hajatuangusha katika swala zima la mipangilio, katika zote hii ndiyo tuliyo ipenda zaidi ni kutokana alivyo jaribu kumix hizi trend mbili, off shoulder dress n aquazzura pompom sandals

 

Millen ame vaa Zara blue off shoulder dress ambayo ni fupi14288152_1083787831698030_629627567_n

aquazzura pompom sandals ambazo zina rangi tofauti tofauti japo rangi yake kubwa ni nyeupe/cream  14309832_513840048819073_556260692_n

Ame accessorize na briefcase handbag nyeusi, glasses na saa huku kichwani akiwa ame rock her natural short hair.14309941_1158075507584856_496985989_n

Comments

comments