Kama mnakumbuka mwaka huu Mbunifu Mustafa Hassanali alibuni collection ambayo aliita “Endometriosis Collection” na kui-dedicate kwa mwanadada Millen (Hapiness) Magese ambae ana ugonjwa huo, Well tuliiongelea collection hii na kutoa mawazo yetu kuhusu hii collection kwamba haikutugusa kabisa na wala hatukumuona Millen katika ile collection

Well mwanadada Millen Magese amebuni vazi lake ambalo mwenyewe amesema yeye amekuwa akitamani kubuni vazi ambalo linaweza kusaidia ku-raise awareness kuhusu Endometriosis na hela kwa ajili ya wagonjwa ambao wanahitaji tunaweza kusema hiki ndicho ambacho tulikiongelea hii ndio dress ambayo tuliitegemea kutoka kwa Mustafa.

 

Tulitegemea kuona gauni ambalo ni powerful & elegant kama ambavyo Millen amebuni this dress defines her katika kila kitu, imebuniwa ki tofauti, finishing yale ipo neat as she is, well mwenyewe amesema mmpenda rangi na ubunifu na je ije kwenye rangi gani nyingine? kwetu sisi moja kwa moja imetujia zinakuja nyingine nyingi zaidi ya hii na zitauzwa kwa ajili ya kusaidia wagonjwa wa ugonjwa wa  Endometriosis, we are here for this & we can’t wait kuona designs nyingine kutoka kwake.