Mwanamitindo Herieth Paul ametembea katika jukwaa la New York Fashion week akiwa ana muuzia nguo mbunifu Brandon Maxwell, Herieth ambae anamiaka 20 si mara yake ya kwanza kutembea katika jukwaa hili la New York fashion week na tunaweza kusema kila tukimuona msichana huyu akifanya mambo makubwa kama haya tunaona kama ni mara ya kwanza kumuona, ukiachana na kutembea katika jukwaa la New York Fashion Week tunamsubiri Herieth katika show ya Victoria Secrets

Collection hii ya spring summer 2018 kutoka kwa mbunifu Brandon Maxwell imemgusa kila mtu interms of rangi, style etc kuna wale wanaopenda colorful outfit ameweka colorful rangi kama njano,nyekundu na blue

 

lakini pia kuna neutral color kama nyeupe, black na blush pink

 

 

Brandon Maxwell Fashion Show, Ready to Wear Collection Spring Summer 2018 in New York

Collection ilikuwa na kila aina ya nguo kama blouse, suruali za jeans, suruali za vitambaa, skirt, magauni marefu na mafupi

Tulicho ki notice kingine ni belt za kiunoni zilizo endana na rangi ya mavazi yaliyo tembezwa katika collection hio lakini pia Brandon amatumia models weusi kwa weupe na weusi wamepanda na natural hair, Way to go Brandon Maxwell

Herieth Paul Walked On Brandon Maxwell Spring 2018 Red To Wear Collection

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com