Ikiwa ni Ijumaa ya kwanza katika mwezi  wa nne, tunakuletea sio tu Fashionista bali pia mbunifu wa Abaya kutoka Tanzania, An-nisa kama ambavyo wengi tunamjua hilo ni jina la kampuni au bidhaa yake  jina lake kamili ni Fatmah Naeem, Fatmah Naeem amesomea mitindo katika shule iliyopo Toronto Nchini Canada, lakini An-nisa aliamua kujikita katika kubuni Abaya na si mavazi mengine.

Leo tunakuletea Collection yake mpya Spring 2016

ANNI ANNISA

Kama ambavyo inaonekana An-nisa ana fanya ubunifu wa Abaya ambazo ni za kisasa kutumia vitambaa vya kisasa kabisa, kwa kuangalia tu utaona Abaya zina quality nzuri na pia nyepesi hazipitishi joto.ANNISATZ

Mpiga picha- ossegsinare

Stylist- Rio Paul

Mua- Fatin Akrabi

Model- Zainab