Fatema AlAwadhi au katika mitandao ya kijamii ana julikana kama @justfatema ni Hijabista kutoka ughaibuni (kuwaiti) ukiingia katika kurasa zake za mitandao ya kijamii Fatema ana Wafuasi zaidi ya laki moja, picha zake na mavazi ni ya kuvutia. Katika ulimwengu wa sasa hijabista kutoka Kuwaiti ndio wanaangaliwa sana kutokana na uwezo wao katika kuchanganya rangi na mavazi. Tulizo zipenda kutoka kwa Fateema

12132693_437515776455826_885074268_n 12292700_1489393041365955_119630473_n 12331569_1525321204446738_307930140_n 12362473_722555661212671_492982388_n 12547587_907815185992105_2141501238_n 12748158_1688268871462151_1185737866_n 10349401_1448900505434283_1928823532_n 12826038_496147607245110_831197356_n

Comments

comments