Darling Hair

Nigerian’s don’t play linapo kuja swala la mavazi iwe harusini, red carpet, movie premier etc, Jana kulikua na movie premier ambayo movie hiyo inaitwa The Wedding Party na theme ya mavazi ilikua Arabian Night we must say wamejitaidi kwenda na theme na wengi walipendeza hizi ni baadhi ya zilizo tuvutia

Adesua Etomi yeye alikua in black & silver number, amevaa fringe black dress na silver shoes alizo match na clutch yake na head piece

Omotola a.k.a Omosexy she went all Arabian in gold & burgundy

muigizaji Indima Okojie yeye ali mchannel alaadin in orange teo pieces, ame malizia muonekano wake na gold accessories & a mini bag

Wakati Indima Okojie aki mchannel Alaadin huyu alionekana kum-channel Jasmine in a blue jumpsuit

 

omoni Beverly Nayaoboli

Beverly Naya

Toke MRichard Mofe Damijo akinwa

Richard Mofe Damijo

Adetoke Oluwo

 

How Nigerian Celebrities Slay The Arabian Night Theme On Movie Premier

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com