Muigizaji maarufu na slayer katika Bongo land anaonekana kuja na kitu ambacho bado hatujajua ni nini, kwa ambacho tume notice ni kwamba hii ni jumatatu ya pili ana post picture katika mitandao yake akiwa amevaa official well kina kuja nini hatujajua kwama ni suit au shirt maana ndio tumemuona nazo mara ya pili,

Tulicho jifunza kutoka kwake ni jinsi alivyo accessorize suti zake

Mara zote mbili Eliza ame accessorize suit zake na miwani, hereni na pete ambapo mara ya kwanza alivaa blue suit, shirt ya blue na weupe akamalizia na clear glasses hereni, pete na saa huku aki pop some color na pink pumps 

Mara ya pili amevaa gray suit napo ame accessorize na pete,hereni, saa na brown glasses huku akimalizia na brown pumps, tumependa mionekano hii kutoka kwake. Unaweza kujaribu pia na kama ukijaribu husisite kututag katika account zetu kwenye mitandao ya kijamii

Comments

comments