Umeshawahi kutaka kuvaa suruali yako ya ofisi weekend lakini ukawaza sasa nai-style vipi hii suruali na ipo too official? usijali we got you. Kwanza inabidi ujue hakuna vazi lililo andikwa hili ni kwa ajili ya ofisi hili kwa ajili ya weekend ni namna ya ku-style kufikia style unayoitaka siku hizi watu wanavaa blazer casual, wanavaa jeans ofisini.

Suruali za ofisini mara nyingi huwa comfortable zina achia kidogo, nyepesi sio nzito ni perfect kwa weekend pia the weekend is all about kuwa comfortable

Kama una mtoko wa usiku unaweza kuvalia na crop top na mis-matched blazer ilikuifanya isonekane too formal, accessorize na casual accessories kama miwani unaweza kumalizia muonekano wako na heels au flats.

Yes to big accessories kama statement necklace, miwani, cross body bag.

On Being casual unaweza ku-style na shirt ukalifunga kati kama dada hapo chini, unaweza kuvaa na kicks au flat sandals

Unaweza kuvalia na t-shirt pia well T-shirts are for the weekend

Tuambie je utajaribu kuvaa hizi suruali casually?

How To Style Your Office Trouser To Fit The Weekend Style

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com