Kama una mitoko wiki hii iwe weekend au hata katikati ya wiki na hujui utavaa nini basi hizi ni ideas za nini uvae katika mitoko yako, hali ya hewa bado ni joto kwaio ina ruhusu kuvaa vitu vyepesi na rangi zilizo tulia kidogo unaweza kutoka na max dress, kama unaenda katika sherehe za harusi lakini hakikisha isiwe nyeupe kwa maana hutakiwi kuvaa sare na mwenye harusi yake,
kama unatoka tu na marafiki unaweza kuvaa kigauni kifupi au body corn crop top na skirt za rangi yoyote au floral
pia Tuntu skirt bado zipo kwenye trend kama una mitoko na washkaji nayo ni choice nzuri ukivaa na crop top na viatu virefu
Gauni isiyo na mikono skirt ndefu yenye mpasuo hizi unaweza kuvaa ukitoka kwenda dinner
FOLLOW US!