Eghal  ni vile vitambaa wanaume wa kiislam huwa wana vaa wakienda kuoa japo pia huwa vina valiwa sehemu nyingine ni kama baraghashia au hijab kwa wanawake, na Idris Sultan ame achia picha zake akiwa amevaa Eghal katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani na ame pendeza mno

Hapa akiwa amevaa Eghal ya cream

Hii ni ile scarf yake nyekundu huwa ana ipendaga ameamua kuistyle na Eghal very creative

Hii ni kama Dakish hatuna uhakikaame ongezea na miwani, tumependa sana

well tunadhani mna weza ku copy namna Idris ame funga Eghal zake, Ijumaa Kareem & Ramadhani Mubarak