Ramadhani ndio hii na weekend ndio imesha fika mara nyingi ikifika mwisho wa week tunapata Mialiko kwa ndugu jamaa na marafiki ya kwenda kufturu nao pamoja, kitu kizuri sana hasa ukialikwa lakini linapo kuja swala la uvae nini una weza kuumia kichwa. leo tuna waletea Iftar outfit ideas ambazo ni simple kabisa

Kaftan/long cardigan zipo kwenye trend kwa sasa kama una taka a casual look una weza kuvaa suruali/pencil skirt au dress na cardigan au kaftan na ukapendeza.

Chic look na maxi skirt na blouse, kama una taka kuonekana chic hili ni chaguo bora kama ni maxi skirt au dress

The Jumpsuit yes unaweza kuvaa jumpsuit yako ambayo haikushiki maungio ukajistyle vyema na ukawa tayari kwenda kupata Iftar na wenzio

Wide legs trouser na blouse

Enjoy your iftar in a stylish way.

Iftar Outfit Ideas

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com