Msanii wa muziki wa bongo flava Ommy Dimpoz ni moja kati ya wasanii wa kiume wa Tanzania wanao jua kupendeza Ommy style yake ni simple & smart mara nyingi ana penda ku- match rangi na ana pendeza mno, well leo ni Ijumaa na hizi ni outfit zake tulizo zipenda toka mwezi mtukufu uanze

Unaweza kumuona Ommy na balaghashia/kofia zake alivyo match na nguo zake lakini pia ame accessorize mitoko yake na saa na miwani

hapa akiwa ame vaa kanzu na eghal kwa wanaume ipo very simple mwezi huu accessory zao ni eghal, kofia, saa na sandals

Ijumaa Kareem kutoka kwetu na Ommy Dimpoz kuja kwenu

Ijumaa Greetings Kutoka Kwa Ommy Dimpoz

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com