Naitwa Hafsa ni fashion na beauty blogger kutoka Nigeria, si tu fashion na beauty blogger ila ni Muslimah Fashion & beauty blogger, kuwa muislam na kuwa fashionable can be very trick sometimes, lakini tuseme Alhamdulillah mitindo una kua siku mpaka siku na mitandao ina tupa nafasi ya kukutana na watu kama Hafsa ambao wana tujuza zaidi.

Tulicho penda kutoka kwa Hafsa ni jinsi ana coordinate rangi zake, pia namna ana keep up na trend bila kuvuka ile mipaka ya kiislam

layering up, pleated skirt na long sweater, kama tulivyo sema mwanzo anajua sana kupangilia rangi

earth colors are life

Green & pink

Velvet Life

shirt & dress trend hii tumependa jinsi ame ongezea suruali kwa chini, as a muslim woman unatakiwa usionyeshe much of your skin, ange weza kununua gauni refu lakini ame chagua fupi na kuongezea madoido yake

skin jeans

Hope ume jifunza kitu kutoka kwa hafsa kama una taka kuona zaidi kuhusu yeye bonyeza hapa

kuwasiliana nasi tutafute

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Comments

comments