Niler Bernard ni moja kati ya wanamitindo ambao sisi tunawaona mbali, tunaweza kusema she is a dare devil anapenda kuvuka mipaka yake, ni model ambae yuko tayari kufanya chochote kwa ajili ya kazi yake na hii spirit ndiyo iliyo mfanya leo anaitwa International model, you will love her akiwa katika run way, from her cat walk, confidence & personality. Tumepata nafasi ya kufanya mahojiano nae na haya ni mawili matatu kutoka kwake
AfroSwagga:  Tuambie kidogo Niler Ni nani?
Niler: Niler ni mwanamitindo kutoka Tanzania,aliyezaliwa na kukulia Arusha,kabila   ni Mpare,pia ni  msichana mchangamfu,very determined and passionate about my dreams,values,and aspirations.
AfroSwagga:   Nini Kilikusukuma Kuingia Katika Uanamitindo?
Niler: sikuwahi kuwa ndoto ya kuwa mwanamitindo au kujihusisha na mwaswala ya mitindo kabisa,lakini baada ya marafiki na ndugu wa karibu kuendelea kunishawishi kujaribu hatimae nilijaribu,but mostly it was the passion i found in it.Unaweza kuniamsha usiku wa manane kupiga picha and i will gladly do it,ndo nilipojua its something i wanna do for the longest time in my life.
Afroswagga : Challenge gani ulizipata ukiwa mwanamitindo mchanga?
Niler : nilipitia challenge kama zote, From being invisible to the industry here in SA,to working and grabbing every possible chance so my face can be seen and potential realized.stumbled across alot of No’s to the point that i fell into depression because i was yet to know how thick skin i needed to be for this Industry,kukaa njaa and sometimes kutembea umbali mrefu to get to auditions or a shoot,because as a starting model sikua na enough money to sustain myself as i wait for the model gigs and paycheques.
AfroSwagga:  Ni lazima mwanamitindo awe under modelling agency?
Niler: Sio lazima,but ni muhimu…especially kwa models wachanga,kwasababu an agency inasimamia vitu vingi,and haki zako kama mwanamitindo,wanafanya negotiations of deals for you which if u are a freelance its complicated because not all fashion clients/buyers works with freelances models.
I think its important kuwa chini ya usimamizi wa agency kwasababu they mostly know better and wanakusaidia mwanamitindo kuelekea in the right direction.
AfroSwagga: Kama ndio ni namna gani au vitu gani afanye aweze kusainiwa na agency?
Niler: i always tell the Model to first believe in themselves na sio just believing while hauna qualifications.No,iyo itakua ni ndoto ya abunuasi.
Vipimo katika Fashion industry is important. So inabidi aspiring model aangalie which agency they wish to sign with,what kind of models do they take,how tall are their models?
Sometimes the agency says they only take 1.72cm and above so its obviously impossible to apply in that agency if one was below that height requirement.
So measurements are the first,and the second best you need to be comfortable and ready infront of the camera.always!
AfroSwagga:  Kwanini Agency ni muhimu kwa wanamitindo wewe ilikusaidia vipi?
Niler: kama nilivoelezea hapo awali,kwamimi kuna kazi zingine nilifanya for european market na mimi niko SA,so my agency ndo wanaofatilia mpaka mimi napata malipo yangu and all that,
Agency pia inakupa Muongozo, I have been put in the right direction with my Boss Family in Johannesburg over and over again,they become a part of you that wants to see you reach higher heights so its important to have people on your back in that  way in the Fashion industry.
AfroSwagga:  Tukusifie una catwalk nzuri na unajiamini Je Tips zipi unaweza kuwapa wanamitindo kuwa mwanamitindo mzuri?
Niler: THANK YOU SO MUCH!!!
Siri ya kuwa na catwalk nzuri ni as u mentioned Kujiamini,and believing kwamba the world literally just stopped for few minutes just for you to walk.
I always tell myself that so my walk ends being very powerful because i allow myself the space to thrive.i think i would love to see more models thriving down the runway.
AfroSwagga:  Tunakuona Katika Runway za kimataifa tuambie experience yako ya kwanza kuwa mwanamitindo wa kimatafia, na kunatofauti gani katika runway zao na zetu?
Niler: well my first experience felt MAGICAL!
Truly,although i never really get used to the feeling,everytime on the runway its the same feeling,and my first experience was like meeting my True love for the first time and knowing its them i would spend an eternity with,it was surreal.
Tofauti ya runway za huku so much work is put in,from Choreography,set up,designers and models,i feel like everyone knows their place and they function greatly from there,
There is Punctuation,proffesionalism and respect which the Fashion Industry in Tanzania lacks that alot.
 AfroSwagga: Unadhani nini kinakwamisha wanamitindo wengi wa Ki-Tanzania kufika kimataifa?
Niler: Kutoka Moyoni wengi wanataka kuwa wanamitindo ili iwe tiketi yao ya umaarufu,but hii ni kazi ngumu haina bwerere wala mteremko na when others realize that wanakua turned off bcoz we all thought it was glitz and glamour,just pictures and walking down the runway..there is much more tears and sweat than we care to show out to the world.
AfroSwagga: Umewahi kufikiria kufundisha wanamitindo wa changa wa Tanzania?
Niler: Nimewahi kufikiria,ninatamani sana kufanya darasa ili kuwapa mwanga fulani wanamitindo wachanga. Tutegemee ilo kutoka kwako?NDIO. nadhani utakuwa wa kwanza kujua lini ili tusaidiane kufikisha wito kwa walengwa.
AfroSwagga:  Una mwili mzuri sana unafanya nini ku-maintain mwili wako? 
Niler: ASANTE! i have the fastest metabolism i think.
Hahaha but also,i have a very strong balance between working out and my food intake.
I watch what i eat,bcoz whatever u put into ur body the results shows up later on,
So i eat healthy More than i would kuna siku za kula chips mayai and all but either way.
Nakula na mazoezi hivo ndo vitu ninavozingatia.
 AfroSwagga: tutegemee nini kutoka kwa Niler?  
Niler: Kutoka kwangu “a Reality show” for now since its the only thing naandaa kwaajili ya watanzania.
Wanamitindo au lah,rika zote..
I want people to see and learn/understand maisha halisi ya mwanamitindo hasa ukizingatia mimi pia ni mtanzania niliyetoka maisha ya kawaida ili waweze kujua kwanza ni kazi kama kazi nyingine na pia Inawezekana ukiamua kuchase ndoto zako.
AfroSwagga: Ushauri kwa wanamitindo wa changa
Niler: Modelling requires Undenied Passion,sio lelemama huku,ni kama jeshini.
So come ready to sweat come ready to Cry!!!
THANK YOU AFROSWAGGA for this amazing opportunity to share a part of my story with Everyone Through you.
Much Love.
Niler
Xx
International Model Niler Bernard Took Us Through Her Modelling Career

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com