Ukiongelea wabunifu wa viatu ambao wako kwenye chat kwa sasa basi huwezi kumtaja Amina Muaddi, Amina Muaddi ni mzaliwa wa Jordan na nusu Romanian, nusu Jordanian.

Akiwa ana miaka michache tu tangu aingie katika biashara ya viatu Amina amesha catch attention ya watu maarufu wakubwa kama  Anna Wintour , Zoe Saldana, Hailee Steinfeld, etc.

Kwa sasa viatu vyake hivi viitwavyo “Begum” Glass Transparent PVC ndivyo ambavyo vinaonekana kupendwa zaidi, tumewaona watu maarufu Rihanna, Kendall Jenner, Toke Makinwa na Irene Uwoya wakiwa wamevivalia

Kendall Jenner
Rihanna
Irene uwoya
Toke Makinwa

Viatu hivi vinauzwa USD 895 Sawa na Tsh 2,056,710 za Ki-Tanzania, unaweza kuingia kwenye blog yao hapa na kununua, aminamuaddi.com