Reality Tv Star Sisters, Kim Kardashian na Khloe Kardashian wame onekana ku jaribu kuanzisha trend ya skin tight zenye lace, well hizi zipo sana bongo hata mwenge kwenye vile vibanda vya urembo una weza kuzipata

Khloe alikuwa spotted in full red outfit, Khloe alivaa a re dress iliyo m-shape vizuri (show it mama you work hard to get that bowwwdie) ndani akiwa ina onyesha lace skin tight na bra vyote vyekundu huku akimalizia huo muonekano na hand bag nyekundu, nude heels na metallic glasess

wakati dada mtu Kim K yeye alivaa all white outfit, Kim alivaa a body suit nyeupe ambayo alivalia lace skin tight kwa ndani na yeye akiwa ana onyesha bra yake ya silk alimalizia muonekano wake na nude lace up heels kutoka katika collection ya mumewe yeezy

are we feeling it mates

tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Comments

comments