Aliye wahi kuwa Miss Tanzania na mwanamuziki Jacqueline Ntuyabaliwe  juzi ame weka picha akiwa ame valia boots kutoka kwa kampuni kubwa duniani iitwayo Christian Louboutin, Viatu hivi vina sole nyekundu kwa chini ambavyo vime pewa jina la Christian Louboutin Jennifer Perforated RedSole,

christian-louboutin-red-jennifer-perforated-red-sole-boot-6

viatu hivi vina thamani ya $1895 ambayo ni sawa na pesa za ki Tanzania 4’169’000.

christian-louboutin-red-jennifer-perforated-red-sole-boot-4

amevalia viatu hivi na suruali nyeusi, shati jeupe aka accessorize na pochi na miwani, expensive shoes but they worth it.

JACQUELINE NTUYABALIWE NA KIATU CHA MILLION4

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com