Eric Marlon Bishop a.k.a Jamie Fox ni muigizaji na mwanamuziki kutoka America na Jamie anajua jinsi ya kusafiri instyle, hivi karibuni alikuwa spotted airport akiwa so fresh so clean akiwa amevalia striped Alexander McQueen sweater  na Adidas shoes we must say Jamie Fox amepoa sana kwenye huu mtoko

Shades and bag pack

 

 

Comments

comments