Darling Hair

Tuxedo Dress ni a must have kwa kila msichana, maana husaidia sana pale unapo kuwa hujui uvae nini. Mara nyingi husave muda na pia hukufanya kuwa comfortable hazi hitaji kuwa accessorized sana, na kwa muonekano wake tu huonyesha wewe ni mwanamke makini.

Bolinto-in-@tnldesigns-1024x1024

kama tulivyo sema Tuxedo dress haziihitaji kuwa na makoro koro mengi huyu yeye ame vaa open heels na saa tu kamaliza ila kapendeza

12502059_1530140647283083_170811788_n-1024x1024

Ina faa pia kwa wenye miili minene una weza kuzivalia Tux dress na stock-ens ukapendeza pia

princess.omoye_-1024x1024

sleeveless tux dress, ina kupa chic vibe na una slay.

JARIBU TUXEDO DRESS WEEKEND HII

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com