4) FANYA MAZOEZI YA MWILI NA USO WAKO

Kuwa mwanamitindo hakuhusiani tu na kuwa mrefu bali pia kujiamini na kujielezea kupitia mwili wako. Utahitaji kupiga picha za uso jinsi ambavyo unaweza kwenda sambamba na camera na kujielezea kupitia sura. Kuwa makini kwenye macho,pia jifunze kuweka hisia za aina zote kwenye sura.

670px-Become-a-Model-if-You're-Short-Step-5-Version-2

 

5) MASHIRIKA YA BIASHARA AU MAGAZETI HUKUBALI MWANAMITINDO WA AINA YOYOTE

Kuna aina za wanamitindo ambazo haziitaji mwanamitindo mrefu kama mashirika ya vipodozi,viatu,mikoba, nywele nakadhika

670px-Become-a-Model-if-You're-Short-Step-6-Version-2

JE UNAWEZA KUA MWANAMITINDO HATA KAMA UMFUPI? (mwisho)

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com