Jennifer got nothing to hide, jana mjini Florida Jannifer alivaa magauni mawili yanayo onyesha mwili wake akiwa katika Tuzo za Billboard Latin Music Awards,
katika red carpet Jennifer alivaa hii black fishnet dress na viatu vyeusi, gauni ina onyesha mwili wake well body ina ruhusu
wakati akipokea awards zake Jenny alivaa hii sequin dress yenye mkato sawa na ile nyeusi
Jennifer real makes 47 years old look good
JENNIFER LOPEZ TWO OUTFITS AT BILLBOARD LATIN MUSIC AWARDS